Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road
Au UBUNGO EXTERNAL
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
PRICE: 250,000 × 6
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp