Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA KOROGWE
DK 10 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 170,000/=X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
LUKU NA MAJI NI MTU MBILI
HAINA FENSI USALAMA BOMBA
NB
INAPIGWA RANGI BAADA YA MALIPO
CALL
O627977383