Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ###250/=
---------------------------
NAFAULISHA MPANGAJI AMEPATA UHAMISHO KIKAZI RUKSA KUONA NA KULIPIA.
-----
IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 4 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
SIFA ZAKE =
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE YA WASTANI
JIKO ZURI
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI PEVING PARKING SPACE KUBWA
----
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
DALALI KISMATI UBUNGO ๐คซ๐ฅ
0772850032