Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Temboni, Dar es Salaam
🕑Dakika 6-8 Kutembea toka Morogoro Main Road
#SIFAZAKE
🔹Chumba kimoja Chakulala
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Choo cha ndani
🔹Umeme & Maji Inajitegemea
🔹Fence na parking ni kubwa
👉Hii inakuwa Wazi Tar 30/09/2024 kuiona na Kulipia Ruksa.
♦️Kodi Tsh 250,000/=×3(Miezi Mitatu)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊