Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🏠APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 4 MOJA NDIO IPO WAZI
💰KODI 200,000X6
LOCATION;KIMARA TEMBONI KM 2 USAFIRI BAJAJI 700
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
INAKUWA WAZI TAREHE 22.1.2025..MAPEMA SANA WAHI...
#0625606710