Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🚨🔥APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe
🕑kutoka standi ya mwendo dk 5 -7 kwa mguu
✍️SIFAZAKE
🌲Chumba kimoja Master
🌲Yani chumba na chooo chako ndani
🌲Umeme Luku wana share 2
🌲Maji meter 2 na yanaflow ndani
🌲Fensi & Parking amna
🔷Kodi Tsh 150, 000/= ×6
🔷Malipo ya Dalali Tsh 150, 000/=
🔷Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
0713661530_0783661530