Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑Dakika 10 kutoka stand ya mwendo kasi boda boda 1000 Tu mpaka getini
🏡#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Kikubwa
🔹Sehemu ya Jiko
🔹Choo chako peke ako pembeni
🔹Umeme Sub-Meter yake
🔹Maji yanflow ndani
🔹fanced &packing kubwa
,📌 inakuwa wazi date 5 /12/2024 Kuona na kufanya malipo inalusiwa
🔶Kodi Tsh 100,000/=×,,6 (Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 100,000/=
🔶Service Charge Tsh 15,000/=
__________
#Piga_simu
#0627977383
,
Karibu sana ndg Mteja.