Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe, Dar es Salaam
🕑1.5Km kutoka Morogoro main road, Bajaji 500 ukishuka Dakika 4 Upo ndani.
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Umeme Inajitegemea
🔹Maji yanaflow ndani
🔹Haiko kwenye fensi, ila usalama ni mkubwa
♦️Kodi Tsh 150,000/=×6(Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 150,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊