Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







130,000X6
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA SUKA UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 15 👈
KODI TSH 130,000X6
NI CHUMBA KIMOJA NA SEBULE CHOO CHA NDANI
INA TAIRIZ JIPSAM MADIRISHA WAVU YANA HEWA SAFI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI 🚋 PARKING IPO
UNAJITEMEA MWENYEWE UMEME LUKU YAKO NA MAJI DAWASA YAPO NJE MITA YAKO 👈
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258