Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 180,000 × 6
Location: KIMARA TEMBONI
Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 700, Boda 1000
*SEBULE KUBWA
*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
*JIKO KUBWA ZURI
*PUBLIC TOILET NZURI IPO NDANI 🚻
*LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
*ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
*PARKING KUBWA SANA 🚘
*GARDEN NZURI
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA 0
CONTACT
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp