Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT#300K
๐ IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH
UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL.
NI APARTMENT NZURI YA
๐CHUMBA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA ZURI
TAILS \nGYPSUM
SLIDE WINDOWS
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASA YAPO 24HRS
YANAFLOW CHOONI JIKONI
RESERVE SIMTANK
ELECTRIC SECURITY
FULL PAVING BLOCKS
CAR PARKING SPACE
NDANI YA FENSI GOOD ENVIRONMENT.
KODI NI LAKI 300,000 /= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000/=
APARTMENT INAYOPANGISHWA NI YA JUU ๐๐
โผ๏ธANATAKIWA MPANGAJI MKIRISTO TU
KUONYESHWA NYUMBA 15 ELFU
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258