Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA MWISHO
Ipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji, TAX,Noah 500
KODI 250,000 × 5/6
📍Sebule Kubwa
📍Chumba Kimoja Kikubwa Master
📍Jiko Kubwa Zuri/Open Kitchen
📍Public Toilet Nzuri Ipo Nje 🚻
📍Inajitegemea Umeme Na Maji
📍Maji Yanaflow Ndani 24HRS
📍Reserve TANK
📍Ipo Kwenye Fence
📍Parking IPO KUBWA 🚗
📍Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp