Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa KIMARA KOROGWE dk6
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking
Kodi 320,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Na hela ya taazari Mwezi Mmoja
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.