Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa KIMARA STOP OVER
Nyumba itakuwa wazi mwisho wa mwezi, Kuona na kulipia ruksa
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko ( Open kitchen
Luku yako
Maji yana flow ndani
Paving block
Parking
Ziko Mbili tu
Kodi 250,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.