Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1.5
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko lapemben
Inajitegemea umeme na maji
BEI YA PANGO NI SH 250,000 X 6
Nyumba ipo Kwenye fence
Kuperekwa kuona nyumba Shilling 15,000 Itadum mpaka upate nyumba
Ukipenda na kulipa Dalali utampa hela ya mwez mmoja
What saapp number 0689-547258