Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA KONA
DK 6 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 180,000/=X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA CHOO CHAKE SAFI NJE
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI SAFI HAKUNA PARKING
Contact 📲
0712528820
0685221354
Mr.