Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






:
(250,000X6)KIMARA BARUTI..CHANGAMKIA HII
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA BARUTI
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kilomita Moja Kutoka Main Road Kituo cha Mwendokasi Unaweza Unatembea au Usafiri Bajaj Boda 1000
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba KIMOJA cha Kulala Master Bedroom
• Jiko Kubwa
• Public Toilet ya Wageni Nje
Kodi yake kwa Mwezi ni Tsh. 250,000\/= Malipo Miezi Sita
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
FOCUS REAL ESTATE COMPANY
0716223412
0683597453