Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #MPYAA #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Stop Over, Dar es Salaam
๐Dakika 10 Kutembea Toka Morogoro Main Road, Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
๐นChumba kimoja master
๐นSebule
๐นJiko linawekwa Makabati
๐นUmeme & maji #Inajitegemea
๐นFence & Car Parking.
๐Zipo 4 Hapa zinakuwa tayari Kuhamia Tar 01/10/2024 kuona na Kulipia Ruksa
โฆ๏ธKodi Tsh 300,000/=ร6(Miezi Sita)
โฆ๏ธMalipo ya Dalali Tsh 300,000/=
โฆ๏ธService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐