Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWAโโโโโ
๐Kimara Baruti
๐Dakika 15 Kutembea toka Mwendokasi, Boda Boda 1000 tu
SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja Master
๐นSebule
๐นUmeme Sub-Meter Yake
๐นMaji yanaflow chooni
๐นFensi & Parking Ipo
๐ถKodi Tsh 170,000\=ร6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 170,000\=
๐ถService Charge Tsh 15, 000\=
Piga_simu ๐
0627977383
๐&Whatsapp
#Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐