Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HOUSE FOR RENT
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: DK 12 KWA KUTEMBEA Tu ๐ถ๐ถ
KODI 300,000 ร 6
*SEBULE KUBWA
*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
*JIKO KUBWA ZURI
*PUBLIC TOILET NZURI ๐ป
*LUKU NA METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
*MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
*RESERVE TANKS
*FULL A/c
*PARKING KUBWA SANA
*GOOD ENVIRONMENT ๐
๐ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENCE MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp