Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿APARTMENT #INAPANGISHWA
IMESHUKA BEI KUTOKA 150K MPAKA 130K
📍kimara Mwisho
🕑Dakika 15 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi Boda boda 1000 Tu hii nyumba unaweza pitia kimara korogwe pia
#SIFAZAKE
🔹Chumba kimoja master kikubwa
🔹Sebule Kubwa
🔹Sehemu ya kupikia
🔹Umeme Sub-Meter Yake
🔹Fence amna Ila mazingira mazuri usalama wa kutosha
🔹Zipo 3 Hapa, Moja hii Iko wazi
🔸Kodi Tsh 130,000/-x5,6(Miezi sita )
🔸Malipo ya Dalali Tsh 130,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu👇
#. &Whatsapp
0753 989554
0773700963
====