Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #CLASSIC #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Kona, Near Ubungo Kibo
🕑Dakika 6 Kutembea Kutoka Morogoro Main Road.
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Imefungwa Air Conditioner
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
🔹Electric Fence, Garden & Car Parking
🔶Kodi Tsh 450,000/=×3(Miezi Mitatu)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 450,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
📌Pesa ya Taadhari Tsh 450,000/=(Unarudishiwa Ukiwa Unahama)
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊