Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Eneo: Kimara Bucha
🕑 Umbali: Dakika 6 tu kwa kutembea kutoka stand ya mwendo kasi
🏠 #SIFAZAKE
🔹 Chumba kimoja kizuri
🔹 Sebule safi na ya kisasa
🔹 Choo cha ndani, kisafi
🔹 Umeme LUKU yake binafsi
🔹 Maji yanapatikana muda wote (yanaflow ndani)
🔹 Fenced compound yenye parking kubwa ya gari
💰 #GHARAMA
🔶 Kodi: Tsh 240,000/= × miezi 6
🔶 Malipo ya dalali: Tsh 240,000/=
🔶 Service charge: Tsh 15,000/=
SIMU
0712656027