Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
KODI NI 170,000x3👈
CHUMBA KIMOJA MASTA
SEBULE_KUBWA
KIBALAZA KIZURI
NYUMBA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA
KUTOKA MOROGORO
KILOMETA 2.5
Bajaji/1000👈
Daladala/700👈
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANAFLOW NDANI
SERVICE CHARGE NI TZS 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1
What saapp number 0689-547258