Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿#APARTMENTS #ZINAPANGISHWA
📍Kimara Baruti
🕛Dakika 2 kwa mguu kutoka standi ya mwendo kasi
📌Hapa ipo ya 260k na 180k, soma maelezo vizuri
👉AINA YA 1
• Chumba Master Kizuri
•Jiko
• floor ya Chini
♦Kodi ni 180,000/= miezi kuazia 5,mpaka 6
#Hii ipo wazi kabisa
👉AINA YA 2
• Sebule
Chumba kimoja cha kulala
•Choo public toilet
•Jiko
• Floor ya Juu
♦Kodi 260,000/=* miezi 5,mpaka 6
#ZIPO WAZI KABISA
👉 SIFA ZA ZOTE
*Tank za Maji za kutosha
* UMEME Sub-miter yako mna share 2 Tu
* Maji Ndani bure
* Ndan ya fensi
* Car Parking
* Mlinzi wa Kampuni
🔹Umbali wa kutembea dakika 2 kwa
🔹miguu Upande wa kushoto kama unaenda mjini
📌ZINGATIA: Gharama ya maji uto lipa maji bure kabisa
♦Malipo ya Dalali Tsh 260k/180k
♦Service Charge kuona 15,000/-
#Piga_simu👇
#0627977383.&Whatsapp
#please #Follow us..🙏