Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿#APARTMENT MPYA #INAPANGISHWA
📍Kimara mwisho
🕓Umbali wa kutoka stand ya mwendo kasi km 3 usafili bajaji 1000 daladala 500 ukishuka dakika 5 umefika
#SIFAZAKE
🔸Chumba Kimoja master
🔸Sebule
🔸Jiko
🔸Umeme & Maji #Inajitegemea
🔸Fence & Parking Kubwa
👉Zipo apartments 4 kwenye Compound hii ndio Ikowazi
🔹Kodi Tsh 160,000/=×6(Miezi Sita)
🔹Malipo ya Dalali Tsh 160,000/=
🔹Service Charge Tsh 15, 000
0713661530_0783661530