Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ#APARTMENT #INAPANGISHWA
๐Kimara Bucha Dar es Salaam
๐Dakika 10_15 Kutembea toka Kituo Cha Mwendokasi, Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
๐ทChumba Kimoja, Master
๐ทSebule
๐ทJiko
๐ทUmeme LUKU yake, Maji yanaflow ๐ทndani
๐ทFence &
๐ทPacking amna
๐ถKodi Tsh 250,000/=x6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali roony Tsh 250,000/=
๐ถService Charge Tsh 15,000/-
๐Hii ipo wazi kabisa
#Piga_simu๐
#0627977383. & Whatsapp
#please #Follow us...๐
Karibu Sana Mteja๐