Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA, KOROGWE
📍 Eneo: Kimara, Korogwe
🕝 Umbali kutoka stand ya mwendo kasi: Dakika 4–5 kwa mguu
Sifa za Apartment:
🔹 Chumba kimoja master kizuri
🔹 Sehemu ya jiko
🔹 Umeme & maji – Inajitegemea, maji yanaflow ndani
🔹 Reserve ya maji ipo na ya kwako mwenyewe
🔹 Fence imesimama vizuri na parking kubwa
🔹 Usalama wa masaa 24/7
Malipo:
🔸 Kodi: Tsh 200,000/= × 6 (Miezi Sita)
🔸 Malipo ya Dalali: Tsh 200,000/=
🔸 Service Charge: Tsh 15,000/=
#Piga_simu👇
#0627977383.&Whatsapp📞
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊