Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment MPYA Inapangishwa KIMARA SUKA DAR ES SALAAM
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Jiko
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking
Kodi 150,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
0677370515
Kwa maelezo zaidi