Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️
KODI 250,000 × 6
LOCATION: KIMARA KOROGWE MWENDOKASI
KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UPO NYUMBANI
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
#SEBULE NZURI
#JIKO OPEN KITCHEN
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENCE
#PARKING SPACE HAKUNA
#PAVING BLOCK SAFI 🚫
#GOOD ENVIRONMENT 👍
PIA KUNA CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA MAJI UMEME VINAJITEGEMEA
KODI 150,000 × 6
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp