Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 170k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA SUKA
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kutembea Kwa Mguu Dakika 10 - 14 Kutoka Main Road, Boda 1000
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE
• CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER BEDROOM
• PUBLIC TOILET YA WAGENI NJE
Apartment zipo ndani ya Fensi Usalama Upo Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 160,000 Malipo Miezi 3
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp