Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA KOROGWE KWA MKUWA PIA UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL POTE BAJAJI ZIPO 500 KUNA DALADALA ZA MOJA KWA MOJA KWENDA KARIAKOO
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
โข Sehem ya jiko
โข Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐_๐ฃ๐ Tsh. 200,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347