Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
250,000 × 6
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500, Boda 1000
SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
JIKO LAKE LA WAZI [ OPEN KITCHEN ]
PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI 🚻
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
FENCE KWA SASA IPO YA WAYA BADARA YA FINISHING ITAJENGWA YA UKUTA
ZIPO APARTIMENTS TATU TUU NA KILA MOJA INAKITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANATIRIRIKA NDANI
NB
ITAKUA TAYARI KUINGIA 20/01/2025
KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKSA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA 🏃♂️🏃♀️💰✍️
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp