Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara, Mwisho
🕑Dakika 5 Kutembea Toka Mwendokasi Mpaka hapo
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Umeme Luku Yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking, Pavings Zimeshawekwa
👉Zipo 4 Hapa, na hii Moja Inafaulishwa,Ukilipia Tu Mpangaji Aliepo anahama.
🔶Kodi Tsh 250, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊