Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 300,000 Γ 6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET NZURI π»
#HEATER YA MAJI MOTO
#PARKING SPACE AVAILABLE π
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA MAKABE ILIYOWEKWA LAMI MPYA KUPITIA MADUKANI ROAD
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA
πNJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp