Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
CHUMBA_SEBULE_JIKO_CHOO
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH MAKONDE
KODI TSHS LAKI 600,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA KUANZIA MIEZI 3
APART NZURI YA KISASA
YA KIBACHELA
YENYE:-
Chumba kimoja cha kulala, Chumba kina makabati #Ac
#Sebule #Ac #Jiko zuri lenye #Makabati
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
PAMOJA NA MALIPO YA dalali
#daresalaam