Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment moja kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 500.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Umeme mita yako na maji pia
@
Parkingi ipo
@
Chumba kimoja na jiko choo
@
Ipo kwenye fensi
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687