Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 250k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: TABATA LELINI MWANANCHI
Umbali wa Kilomita 1 Kutoka Main Road, Boda 1000
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Jiko Zuri
• Choo Kizuri Ndani
• AC Chumbani
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 250,000/- Malipo Miezi 6
O677370515
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 20,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo