Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


New Aparrment Classic For Rent ✨️
Location: TABATA SEGEREA CHAMA
Distance: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 15 Kutoka Kituoni Main Road 🚶🚶
Price: 300,000 × 6
• Sebule Kubwa Sana
• Chumba KIMOJA Cha Kulala Kikubwa
• Jiko Kubwa Zuri
• Choo Kizuri Ndani
• Reserve Tank
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo Mazingira Mazuri Umeme LUKU inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp