Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment Classic For Rent ✨️
Location: UBUNGO RIVERSIDE
Distance: Dakika 5 Kutoka Morogoro Road 🚶🚶
Nyumba Itakuwa Wazi 27/12/2024
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰✍️
Sebule Kubwa
Chumba Kimoja Kikubwa
Jiko Kubwa la Kisasa
Public Toilet Nzuri 🚻
Luku independent
Maji Yanaflow Ndani 24HRS
Full Tires, Gypsum Na SlideWindows
Paving Blocks 🚫
Car Parking Available 🚗
KODI 400,000 × 6
Service Charge 15,000/=
Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp