Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI ZA KISASA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KODI 250,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KWA MKUA KUNATEMBELEKA UKIPITIA UBUNGO MAKOKA BAJAJI 700k UNAFIKA AU UNAWEZA KUPITIA KIMARA KOROGWE BAJAJI 500k UNAFIKA AU UKIPITIA UBUNGO EXTENO PIA UNAFIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 5 KWA MGUU
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
NYUMBA MPYA KUONA NA KULIPIA RUKSA NJOO UWAI NAFASI USISUBIR MBAKA IKAMILIKE MPYA MPYA NDANI YA WEEK INAISHA
SIFA ZAKE
#NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBRE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#NA PABLICK TOILET NDANI NZURI
#DILISHA KIOO
#MAJI DAWASA YANAFROO SAA24 TENK JUU
#UMEME NA MAJI UNAJITEGEMA
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
TUCHANGAMKE NDUGU WATEJA WANGU
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347