Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
KUTOKA MAIN ROAD KM 2 BAJAJI SH.500 DALADALA SH.500 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 7 KWA MGUU
SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKO LA NJE
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
UMEME SUB-METER YAKO
MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
NYUMBA IKO KWENYE FENCE
NO Parking 🚘
MAZINGIRA MAZURI
KODI 200,000 × 6
SERVICE CHANGER SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA 22/04/2025
KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰 ✍️
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp