Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #MPYAA #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Msewe
🕑Dakika 10-12 Kutembea toka Mwendokasi kibo
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master Kizuri
🔹Umeme Luku Shared, Maji yanaflow ndani
🔹Haina fensi, ila usalama ni mkubwa
👉Nyumba mpya kabisaa Wahi
🔶Kodi Tsh 200,000/=×3(Miezi Mitatu) au.
Tsh 180,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 200,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
📌Pesa ya Taadhari Tsh 200,000/=(Unarudishiwa Ukiwa Unahama)
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊