Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Kibo, Msewe
🕔Umbali wa 8-10 Kutembea toka Mwendokasi, Barabara ni Lami Mpaka mlangoni
#SIFAZAKE
💧Chumba Kimoja Master
💧Sebule
💧Jiko
💧Umeme LUKU yake & Maji yanatoka ndani
💧Fenced Car Parking Kubwa
👉Zipo 4 Hapa, Moja hii Ikowazi
♦️Kodi Tsh 350 ,000/=×6(Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 350,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊