Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA FOR RENT
KODI 180,000 × 4/5/6 YOTE INAPOKELEWA
LOCATION: UBUNGO MAKOKA
DISTANCE: KM 2 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
📍SEBULE KUBWA SANA
📍CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
📍PUBLIC TOILET NZURI 🚻
📍MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 24HRS
📍UMEME MNASHEAR WAWILI
📍NDANI YA FENCE
📍PARKING SPACE IPO 🚗
📍GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp