Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







:
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM NA SEHEMU YA JIKO (170k)
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO RIVERSIDE JIRANI NA BARABARA
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika SIFURI Kutoka Kwenye Lami
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Chumba kimoja Kikubwa Master Bedroom
• Public Toilet
• Sehemu ya Jiko
Apartment zipo 4 Kwenye Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 170,000/- Malipo Miezi 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞 𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp