Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment iyo ni ya chumba kimoja masta
@
Inapangishwa laki na nusu kodi ya miez 4/5/6
@
Na dalali mwez 1 ipo rifesaid ubungo
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Pazur sanaaaaa mpy
@
Maji umeme upo
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687