Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
: UBUNGO RIVERSIDE
Umbali wa Kilomita Moja Kutoka Main Road
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Master Bedroom
โข Jiko Zuri
โข Choo Kizuri Ndani
โข Heater ya MAJI
โข Electrical Fanse
โข Reserve Tank (Dawasa)
โข Garden
โข Full AC
Apartment zipo 3 Tu ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
Tsh. 400,000/- Malipo Miezi 6
NB;
NYUMBA HII IMELIPIWA
PIGA CM TUKUHUDUMIE NYUMBA NYINGINE
0713661530_0783661530


















