Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Distance: KM 1.5 Kutoka Mandela Road
Usafiri 24Hours Bajaji 700, Boda 1000
Ukishuka Unapiga Geti Teke
KODI 250,000 ร 6
Sebule Kubwa
Chumba Kimoja Kikubwa
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri Ipo Ndani ๐ป
LUKU Yako
Maji Meter Yako & Yanaflow Ndani 24HRS
Good Environment ๐
Fenced
Parking Space Available ๐
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp