Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


# APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
# NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM INA MAKABATI NA SEBURE KUBWA SANA NA JIKO ZURI LA KISASA.
# INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKWAKO NA MAJI INAJITEGEMEA .
# IPO NDANI YA FENSI. PARKING SPACE IPO. BEI NI LAKI 3 NA ELFU 50 MAONGEZI YAPO .
NYUMBA IPO UBUNGO KIBO DK 8 KWAMGUU KUTOKA STEND YA MWENDOKASI.
# Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087